Mech ya leo ya Simba Vs Prison

Mech ya leo ya Simba Vs Prison

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Mech hii ya mhim kabsa kwa wekundu wa Msimbaz inaanza saa ngap wadau ?
Na je matumain ya kushnda yapo ??
 
Sema tu Prisons ya msimu huu ni urojo urojo! Kwa hiyo sitashangaa ikishindwa kufurukuta.

Kinyume na hapo, pangechimbika leo.
 
Kuna wachezaji Simba Ni Kama Wamemsahau Chama Mambo Yake

Anawawekea pasi Nzuri wanazikosa
 
Back
Top Bottom