Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saa mojaMech hii ya mhim kabsa kwa wekundu wa Msimbaz inaanza saa ngap wadau ?
Na je matumain ya kushnda yapo ??
Hakuna kitakachozuia kushindaMech hii ya mhim kabsa kwa wekundu wa Msimbaz inaanza saa ngap wadau ?
Na je matumain ya kushnda yapo ??
Sawa tu, ni moja kati ya matokeo yanayoweza kupatikanaJamaa wakipigwa na leo aisee itapendeza sana....
Leo Simba wanashinda. Japo matamanio yangu ilikuwa wafungweJamaa wakipigwa na leo aisee itapendeza sana....
Tunashinda mapema sana
Mmeanza hata kabla ya mechi kuanza mna nn nyie Bahasha fcSema tu Prisons ya msimu huu ni urojo urojo! Kwa hiyo sitashangaa ikishindwa kufurukuta.
Kinyume na hapo, pangechimbika leo.
😂😂😂Mambo ya Pablo ayoHivi Mzamiru kwenye kikosi leo anataka nn