Mech ya Senegal Vs Misri inaanza saa ngap kwa majira ya Tanzania?

Mech ya Senegal Vs Misri inaanza saa ngap kwa majira ya Tanzania?

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Mwenye taarifa naomba ansaidie il nijiandae nkachek mech kubwa na tam
 
Saa mbili kamili usiku huu. Yaani dk 15 zijazo. Maswali kama haya huitaji kuja kuuliza hapa jukwaani, sababu hiyo pc uliyotumia kuandia hapa ilitosha kukuonyesha.

Nipo na Misri leo. Salah aende world cup na Mane abaki na Afco yake. Wagawane....
 
Tabu sana
 
Senegal dakika ya tatu tuu kashatupia
 
Salah leo haamini ila anaaga mashindano
 
Subiri Game ya Portgal vs north Methodonia 21:45 Dstv 225, Hata mwenye kifurushi cha 9900 anatazam hii game
Dah nilitamani kuiona hii mechi ila kwa bahati mbaya king'amuzi changu cha startimes nimekitupia kando tokea mwezi wa 12 mwaka jana kimepigwa na vumbi lakutosha.
 
Back
Top Bottom