Mech ya Senegal Vs Misri inaanza saa ngap kwa majira ya Tanzania?

Mech ya Senegal Vs Misri inaanza saa ngap kwa majira ya Tanzania?

Dah nilitamani kuiona hii mechi ila kwa bahati mbaya king'amuzi changu cha startimes nimekitupia kando tokea mwezi wa 12 mwaka jana kimepigwa na vumbi lakutosha.
Star times mbona naona wazungu tuu
 
Back
Top Bottom