Robin20 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2021 Posts 538 Reaction score 498 Mar 29, 2022 #41 Bora hawa mafarao wametoka
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,698 Mar 29, 2022 #42 Duuu uchawi wa ki-africa umefanya kazi kweli kweli
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,758 Reaction score 6,299 Mar 29, 2022 #43 Egypt wanatabia ya kuvizia matuta hawajui kwamba matuta hayana mwenyewe.
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Mar 29, 2022 #44 Kanungila Karim said: Afadhali tu, wale wavaa kobazi wa Cairo warudi kitaa kuanza kufunga mwezi mtukufu Click to expand... Chuki katika kiwango cha juu mno, hapo subiri kuwa mchawi tu, kwa taarifa yako huko senegal wavaa kobazi ndio wamejaa,
Kanungila Karim said: Afadhali tu, wale wavaa kobazi wa Cairo warudi kitaa kuanza kufunga mwezi mtukufu Click to expand... Chuki katika kiwango cha juu mno, hapo subiri kuwa mchawi tu, kwa taarifa yako huko senegal wavaa kobazi ndio wamejaa,
cheetah255 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2017 Posts 1,376 Reaction score 2,393 Mar 30, 2022 #45 nguvu said: Chuki katika kiwango cha juu mno, hapo subiri kuwa mchawi tu, kwa taarifa yako huko senegal wavaa kobazi ndio wamejaa, Click to expand... Acha longolongo senegal wabantu wenzetu kabisa,acha wavaa cobazz warudi kwao.
nguvu said: Chuki katika kiwango cha juu mno, hapo subiri kuwa mchawi tu, kwa taarifa yako huko senegal wavaa kobazi ndio wamejaa, Click to expand... Acha longolongo senegal wabantu wenzetu kabisa,acha wavaa cobazz warudi kwao.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Apr 3, 2022 #46 nguvu said: Chuki katika kiwango cha juu mno, hapo subiri kuwa mchawi tu, kwa taarifa yako huko senegal wavaa kobazi ndio wamejaa, Click to expand... Sawa sheikh, tumekuelewa
nguvu said: Chuki katika kiwango cha juu mno, hapo subiri kuwa mchawi tu, kwa taarifa yako huko senegal wavaa kobazi ndio wamejaa, Click to expand... Sawa sheikh, tumekuelewa