Mechanical construction( steel godown, steel hall,steel tents and car shed)

Calyx24

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2018
Posts
213
Reaction score
292
habari zenu wakuu

kutokana na changamoto kubwa zinazotokea kwa watu wengi hasa upande wa ujenzi kwa kutumia vyuma BEST MACHENICS COMPANY tumekuja na huduma inayohusisha design and fabrication ya steel structure kutoka kwa wahandisi wabobevu

Huduma tuzitoazo ni,
-kubuni michoro ya miundo mbali mbali ya majengo yanayohusisha vyuma yaani steel structure

-kubuni na kuunda haina mbali mbali za matank yenye ujazo tofauti tofauti ya chuma

-kubuni na kuunda haina mbali mbali za magala ya kuhifadhia nafakana hat yale yanayotumika kama kiwanda na majengo makubwa

-pia tuna pauwa majengo makubwa na madogo kwa kutengeneza canch na kufanya installation kwa ubora wa hali ya juu

-pia tunato huduma ya proffesional welding na kufanya installation ya mitambo mbali mbali ka viwanda vikubwa na vidogo

tunapenda kuwakaribisha procurement officer,managers na watu binafsi na tutaonesha ushirikiano wa hali ya juu na kufanya kazi bora na timilifu

mawasiliano yetu ni 0692235221
 
karibuni kwa wale weny mawazo na maoni
 
bila kusahau wenye maulizo
 
Sample ya kazi zenu iko wapi?
Unaweza kututafuta kwa kupitia hizo namba then tukakutumia simple zetu kwa upande wa design na construction pia hii ni kwa wale wote wanao hitaji huduma
 
Ms tank fabrication
 

Attachments

  • IMG_20240401_173934.jpg
    63.8 KB · Views: 9
Ms stair
 

Attachments

  • IMG_20240401_174243.jpg
    82.8 KB · Views: 12
Steel structure godown
 

Attachments

  • IMG_20240401_173422.jpg
    165.7 KB · Views: 11
Steel structure godown
 

Attachments

  • IMG_20240401_173606.jpg
    111.8 KB · Views: 13
MS tank fabrication
 

Attachments

  • IMG_20240401_173958.jpg
    54.7 KB · Views: 9
steel structure
 

Attachments

  • IMG_20240401_173529.jpg
    49.5 KB · Views: 8
MS Fuel tank fabrication
 

Attachments

  • IMG20240402093149.jpg
    5.1 MB · Views: 11
Mnapatikana wapi?
 
Utani-tag Mkuu wakijibu hii...Na Mimi nasubiri ili niwafuate ofisini kwao. Nina kazi zangu, nataka nione kama tutaelewana.
Tunapatikana mabibo mkabala na chuo cha NIT
 
Tank la lita elfu 50 linaweza gharimu kiasi gani?

Ama tank lenye vipimo vya mita 10 upande na 10 upana kisha urefu mita 4 ni kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…