Mechanical construction( steel godown, steel hall,steel tents and car shed)

Tank la lita elfu 50 linaweza gharimu kiasi gani?

Ama tank lenye vipimo vya mita 10 upande na 10 upana kisha urefu mita 4 ni kiasi gani?
kwa tank lenye Diameter ya 10M na Length 4M gharama yake itategemeana na design ilivyo kwa kuwa gharama ya kufabricate tank inatofautia kulingana na material yaliyo tumika pia kulingana na thicknes ya plate iliyo tumika
pia gharama ya ufundi itategemea na ukubwa wa thicknes ya plate used

Karibu
 
kwa tank lenye Diameter ya 10M na Length 4M gharama yake itategemeana na design ilovyo kwa kuwa gharama ya kudesign tank inatofautia kulingana na material yaliyo tumika pia kulingana na thicknes ya plate iliyo tumika

Karibu
Ungenipa makadirio ya chini na ya juu, nione inachezea wapi!

Pili, unezungumzia diameter maana yake unazungumzia tenk la mche duara, mie nilikuwa nataka la pembe 4 ndio maana nikakutajia upana,uoande na urefu wake. Ila kama hilo la duara ndio gharama nafuu sio mbaya kikubwa ni ujazo(lita) tu
 
zitatumika plate 33 kila moja ni 250,000=8,250,000
pia kuna gharama za electrode, disc na vifaa vingine lets say 500,000
Material cost total ni 8,750,000
Technical cost ni 80% ya total cost of material kwa upande wa tank kulingana na ujazo wa litre 50,000

hayo ni makadirio ya chini
 
Attachments

  • IMG_20240404_143919.jpg
    IMG_20240404_143919.jpg
    407.2 KB · Views: 8
Ungenipa makadirio ya chini na ya juu, nione inachezea wapi!

Pili, unezungumzia diameter maana yake unazungumzia tenk la mche duara, mie nilikuwa nataka la pembe 4 ndio maana nikakutajia upana,uoande na urefu wake. Ila kama hilo la duara ndio gharama nafuu sio mbaya kikubwa ni ujazo(lita) tu
square inawezekana ila kwa ujazo wa 50,000L tunashauli litumike cylindrical tank hii ni kulingana na sababu mbali mbali za kisayansi ila pia kupunguza gharama ya material
 
zitatumika plate 33 kila moja ni 250,000=8,250,000
pia kuna gharama za electrode, disc na vifaa vingine lets say 500,000
Material cost total ni 8,750,000
Technical cost ni 80% ya total cost of material kwa upande wa tank kulingana na ujazo wa litre 50,000

hayo ni makadirio ya chini
Shukran mzee
 
Back
Top Bottom