Mechi 12 Makombe 14🤔 inawezekanaje?

Mechi 12 Makombe 14🤔 inawezekanaje?

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
🚨 Tom Starke alicheza mechi 12 Pekee pale Bayern Munich kwa misimu sita kuanzia 2012 Hadi 2018 na akashinda mataji 14 na Bayern. 🤯😱

➡️ Bundesliga: 6X
➡️ DFB-Pokal: 3X
➡️ DFL-Supercup: 2X
➡️ UEFA Champions League: 1X
➡️ UEFA Super Cup : 1X
➡️FIFA Club World Cup: 1X

What A Legend He Is.😍😂💪
 
kwa nafasi aliyokuwa akiitumikia bila ya shaka hilo linawezekana
1627461028789.png
 
Dhulfiqar magolikipa namba mbili had namba tatu mara nyingi huwa wanacheza mara chache mnoo ukizingatia golini makocha huwa hawafanyag rotation sana rejea Pinto Pale barca
 
Alikuwa analipwa mshahara kweli?
2012_2018 mechi 12 pekee.
 
Back
Top Bottom