Mechi 3 bora za wakati wote!

Ac Milan 3 Liverpool 3. Mwaka 2005
Yanga 3 Simba 3 .2014. Kipindi cha kwanza tuu Yanga walikua mbele kwa goli tatu, kila mtu akajua goli tano walizopigwa 2012 ndio zitarudi sasa, ila maajabu yaliyotokea kipindi cha pili si Yanga wala Simba mpaka Leo hawaamini kilichotokea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga 3 Simba 3, Yanga tulitangulia 3 mpaka half time, wahuni wakaja wakasawazisha.
 
1. France 1 Vs Italy 0 ( UEFA euro 2000 final )

2. Germany 2 Vs Czech republic 1( UEFA uero 1996 , mnyama Oliver biehoff came off bench and scored twice with header.

3. AC Milan 3 Vs Liverpool 3 ( uefa cup final 2004) hapo mnyama Gerrard anaonyesha ukomavu wa kuongoza timu
 
German VS Cameroun World Cup mwendo wa Undava. Kadi 16 za Njano 2 Red Cards. Haiji kutokea
Tafuta game ya world cup mwaka 2006 kati ya Uholanzi dhidi ya Ureno mechi ilibatizwa jina la Battle of Nuremberg.

Kadi nyekundu 4 na njano 16.
So far ni rekodi mpk leo ya world cup.
 
Nigeria vs brazil 1996 semi final olympic games Atlanta
Michuano ya olimpiki kwa majira ya kiangazi, yaliyofanyika jijini Atalanta Georgia mwaka 1996 nchini Marekani ni moja ya michuano bora ya wakati wote.

Nigeria ikiwa na kizazi hatari cha vijana waliitikisa Dunia kwa kutwaa medali ya dhahabu.

Baada ya hapo kizazi kile hakikupata tena mafanikio nje ya bara lao la Afrika.
 
Individually walipata mafanikio ( kwenye klabu level) namkumbuka kanu siku Ile anavunga bao anatembea Kwa mikogo Sana , na wengine wanaruka sarakasi , kama sijasahau finidi George, amunike au amokachi
 
sema mechi zote, ila moja pekee ambayo viti havikukalia, ni ile 2014.

R. Madrid Vs A. Madrid (UEFA final kule Lisbon Ureno).

Kazi la le captain Ramos ilifanya mashabiki walie kama watoto kwa furaha, huku wimbo wa Hala madrid unapigwa baada ya shughuli nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool vs AC Milan Istanbul ndiyo mechi itakayokumbukwa sana.
Kumbuka Liverpool walisawazisha bao zote 3 ndani ya dk 6, Milan wakiwa na viungo bora na mabeki hodari chini ya mkongwe Paul Maldini
 
Chelsea vs Liverpool robo fainali uefa msimu wa 2007/08 iv nadhani..ilikuwa gemu kali sana maana liver walipigwa 3-1 moja apo Anfield. Mechi ya marudiano pale Stamford bridge, liverpool walikaza sana but gemu ikaisha 4-4 Chelsea akafuvu kwenda lembe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…