Mechi 3 bora za wakati wote!

Italy 1 South korea 2 world cup 2002 Italia anaanza funga Korea anasawazisha na kufunga la pili zile dakika za goli la dhahabu.

Italy nje mpka wanamtimua mchezaji wa South korea aliyekua akicheza italia kama sikosei ni Perugia
duh hatari sana aisee
 
1. Man utd 2 - 1 Bayern Munich 1999 Ucl Final
2. Italy 2 - 0 Germany Semi final Extra Time Word Cup Final 2006
3 Newcastle 4 - 4 Arsenal Epl 5 Feb 2011
 
Chelsea vs Bayern Munich eufa.
Chelsea vs Liverpool uefa quater final.
Barcelona vs Chelsea semi final.
 
Ac Milan 3-3 Liverpool (UCL 2005) penalties
Cameroon vs Ivory Coast (AFCON 20__)
penalties
Brazil 2-0 Germany (World cup 2002)

Barcelona 6-1 PSG (UCL jana)
ManUtd 5-2 Tottenham (EPL 20__)
Simba 5-0 Yanga (VPL 2011/12)
Portugese 1-0 France (UEFA Euro 2016) dk 120
Manutd 2-1 Arsenal (FA Cup 20__)
Manutd 3-3 Chelsea (EPL 2011)
Ghana 1-1 Uruguay (World cup2010) penalties
 
Juve vs ac Milan uefa final 2003.. Juve anakufa kwa penalt, ilikua n game haswaa.

Real Madrid vs bayern liverkusen uefa final....zizzou anafunga goal la mzunguluko huku ndo likiwa goal la ushind...

Dortmund vs bayern hii game ilikua na ufund mwing sana na technical nying...yoyote angefungwa.. Bayer munchen alifanikiwa kushinda.

Ntakuwa mchoyo wa fadhila nicposhukuru finally ya mwaka Jana... Real Madrid vs atl.Madrid... Hakuna alie jua kua mshind n nan...team zote kabla ya game zilikua sawa kuanzia goli kipa mpaka bek...!

Pia Kuna game za amsha lakn either nguvu nying zilitumika ama ziliegemea upande mmoja.

Mfano
Barca vs man..Finally mbovu sana hiz maana barca ilionekana inafanya mazoez.
Chelsie vs man u. Game ilikua nguvu nying kuliko hakir na mpangilio wa mpira uwanjan...yaan n full jihad na kukimbizana.

Liverpool vs ac Milan.. Liverpool wanasawazisha goal 3 lakn mpira wakiwa wamezidiwa kila idala.. Ndo tukubal team spirit n kitu kingne kwenye soka..

Man u vs bayern munchen.. Man u wakiwa wamezidiwa mipango na kambumbu dk zote za mchezo lakn wanakuja kasawazisha mwishon...yaan kama zilivyokua game za barca na man u halafu man u aje apate goal mwisho na ashinde mchezo.God was not fear...
 
Asante sana Faiza.. Nimegundua kumbe mpira ulikuwa ni zamani sio leo.
 
Good series! Naomba ongeza na ile ya Man U (1) vs Barca(3) uefa finale 2008 kama skosei
 
Wazaman tuwachia wataje vyao... Cc tutataja mechi tulizoziona kwenye umri wetu na tukiwa hakir ya mpira...hayo mambo ya kina baba na mama cc hatuyajui...
Ahaha... Old is gold mkuu.

Mpira wa zamani japo sikuuona ila nauheshimu sana, nimesoma transcripts na kuangalia video nyingi za mpira hapo zamani hakika zamani soka lilikuwa lina radha tamu sana kulinganisha na zama hizi.

Kingine ambacho ni back up ya maneno haya angalia hata statistics za IFFHS taarifa nyingi za kimaajabu ya soka ni za zamani.
 
Sasa mkuu hata kipind chetu hik baadae kitakua kinacfiwa... Kwa mfano mech ya man u na bayern utasemaje ilikua mech bora...? man u kazidiwa mpira dk zote 90... Au uzur na u bora wa mech n kasawazisha goal mwishon na kushinda mchezo....?
 
Nataka niiweke na hii ya juzi ya uefalona vs psg lakini hapana ingekua poa kama wangeshinda kwa nguvu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…