Hao PSG ni wapuuzi na haki yao kutolewa controversial ni penalty ya suaboy tu na PSG kwa kila sababu walistahili kutolewa mechi ile bado ni game bora ya muda woteNataka niiweke na hii ya juzi ya uefalona vs psg lakini hapana ingekua poa kama wangeshinda kwa nguvu zao
Hiyo mechi ya Asernal pia ni 2006.Ungejua ulivyokitonesha kidonda changu kilichokwisha kupona?
Basi tu.
Hata hivyo mechi zilizowahi kuniuma maishani,nililia zaidi ya msiba;zipo 2 tu.
1.France vs Italy 2006 (World Cup Final)Nilikuwa upande wa France
2.Arsenal vs Barcelona (UEFA Final)
Nimesahau mwaka ila nakumbuka Jens Lehman alipewa red card kwa madai ya kumfanyia Samuel Eto'o madhambi.
Kama sio ile red card kombe lilikuwa letu kabisa [emoji24] [emoji24] [emoji24].
Mechi ile ilinifanya nikamchukia Eto'o na Barcelona hadi leo.
cc BAK
Yeah,umenikumbusha mzee mmoja marehemu ambaye ndiye niliyeangalia nae hii mechi.Hiyo mechi ya Asernal pia ni 2006.
Mwaka mbaya sana ulikuwa kwako.
ilo scania cha mtoto...kuna scania iliekwa na chelsea game ya 2-2 semi final Messi mwenyew alikiri kuichukia ChelseaBarcelona 1 intermillan 0. Inter aliingia fainali dhidi y bayern munich. Nakumbuk lile scania alilopak mourinho dk zote 90. Ilikuwa mechi ya namna yake
Kama uliiona hiyo mechi shikamoo mzee wanguMechi bora kabisa kuwahi kuchezwa kati ya Simba na Yanga.
Kitwana Manara Popat aliwaliza Simba siku hiyo.
Nakumbuka hio mech ilipigwa camp neu na barc alikua anaongoza kwa goli 2 kwa 1, walihitaji goli moja tu ili wafuzu hatua ya fainal. Lakn Fernando torres akachomoa goli ikawa 2 2. Na chelsea akasonga pele kwa second leg aggregate ya 3 kwa 2.ilo scania cha mtoto...kuna scania iliekwa na chelsea game ya 2-2 semi final Messi mwenyew alikiri kuichukia Chelsea
"There are players here who hate Chelsea more than Real Madrid," Messi told the News of the World. "I never thought I would hear myself say that.
"I also never thought I would see something worse than the Boca and River Plate rivalry or Brazil v Argentina - but this is.
"We would rather play Arsenal, Manchester United or anyone else than be on the pitch with Chelsea."
Bila kusahau red card ya VidicMan u 1-4 Liverpool EPL 2009
Y always Me[emoji4]Man utd 1- 6 man city
2011
Asee hii mechi sji sahau
HahahahaY always Me[emoji4]
Inaonekana ww ni shabiki wa chelshitChelsea vs Bayern Munich eufa.
Chelsea vs Liverpool uefa quater final.
Barcelona vs Chelsea semi final.
ulivoamka, ulihisi ndotonililala baada ya half time
Hii match nililia sana,na mpaka kesho hata Suarez afanye mema gani siwez mpenda......nilitaka kuamini kuwa machozi yalinitoka kwa sababu ya pombe japo sikuuwa nakunywa konyagi (rahisi kumtoa mtu machozi) ila nilikuja ku realize ni mapenzi mema kwa Africa na Ghana maana siku tatu mfufulizo nilipata wakat i mgumu kusahau machunguGhana vs Uruguay world cup South Africa 2010 sitamsahau asamoah gyan aisee
Hii game inanikumbusha lile goli Michael essien km naliona vile Stamford bridgehUU NI MTAZAMO WANGU...
1. AC MILAN VS LIVERPOOL UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL 2007
Hiyo namba 2 pamoja na ushabiki wangu kwa Chelsea nadhani ndiyo namba moja kwa mashabiki wengi wa mpira...that is true spirit.
2. CHELSEA vs BAYERN MUNICH UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2012 FINAL
....these matches huwa zinanipa nguvu ya kuendelea kupigana maana najua hata pale ambapo dunia nzima itaamini siwezi, kama mimi ninaamini, inatosha...na nitafanikiwa!!! These are matches to talk about...
3. CHELSEA VS BARCELONA UEFA GAME MAY 2009
Mechi ambayo inanifundisha kuwa the world is not fair...nyanyuka pangusa vumbi...move on with life!!!
Gerald the Captainhaa haa mkuu nikisikiaga jina hili (Instabul) huwa kumbukumbu zinareflect na siku husika. Much respect kwa kikosi kile under Steven Gerald
Nilimchukia Suarez nilimuona kama jamaa asiyetutakia mazuri AfrikaGhana vs Uruguay world cup South Africa 2010 sitamsahau asamoah gyan aisee
Manchester United vs Bayern Munich Champions league final 1999