Mechi 3 bora za wakati wote!

2002 world cup opening match France Vs Senegal
Ufaransa ikiwa na mastaa kibao ikapigwa na the dream team ever in Africa 1-0.
Papa Bouba Diop akipachika bao dakika ya 29
 
Hio mechi ya Lehman kupewa red Ilikua 2006
 
Liverpool vs dotmund April 4 2016
Stasahau hii mechi nilikua mbele kbs na jezi yangu ya Liverpool
Tulivyopigwa zile 2 nkataka kutoka kwanza ,,,nikazuiwa kutoka
Mwisho wa mechi tulibaki wachache baada ya sakho na lovren kufanya yao
 
Messi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
German VS Cameroun World Cup mwendo wa Undava. Kadi 16 za Njano 2 Red Cards. Haiji kutokea
 
Mechi ya AC na Liverpool nikiwa nashabikia AC nikaenda kulala after first half, kwamba kazi imeisha, na kuanza kejeli (as if nina maslahi kama Berlusconi) Nilipoamka asubuhi kupata matokeo, mijicho ilinitoka kwa kutoamini.

Mshabiki wa Ac MIlan halafu kweli ulienda kulala half time katiaka mechi ya fainal? tena timu ikiwa inaongoza? mkuu tuache kidogo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…