Mechi 42 unbeaten lakini wameshindwa kuingia makundi CAF!

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii ni dalili ya ushindi wa michongo. Ni jambo gumu sana timu imara inayoweza kutopoteza mechi nyingi namna hiyo halafu ishindwe kufurukuta mashindano ya kimataifa!

Hii timu ilifanikiwa pia kupata ushindi wa mchongo wa goli nyingi sana kwa Zalan na wakawadanganya mashabiki wao ambao wote ni viazi isipokuwa wawili tu kuwa timu ni bora sana.

Ukweli hamuwezi kwenda popote hadi siku mtakapoamua kucheza mpira na siyo kamari.
 
Inashangaza sana, team isiyofungwa kwa zaidi ya mechi 30 inakuwaga ni moto wa kuotea mbali si ndani ya ligi ya nyumbani tu, bali hadi katika makombe yote anayoshiriki kwa wakati huo. Sasa hili la Yanga kutofungwa mechi zote hizo alafu anatolewa CLUB BINGWA AFRICA kabla hata ya makundi inashangaza sana.

Naanza kupata mashaka na yanayonenwa na baadhi ya wakereketwa wa mpira nchini kuwa YANGA huwa wanatoa hongo kwa timu zingine ili ishinde kwa namna yoyote ile!!!
 
Kumbuka na hiyo team iliyoingia makundi yaani Simba SC nayo inashiriki kwenye hiyo Ligi ambayo Yanga ni unbeaten hadi Leo, sasa kama kuingia makundi ndo ubora mbona hao Simba wameshindwa kumfunga Yanga
 
Kumbuka na hiyo team iliyoingia makundi yaani Simba SC nayo inashiriki kwenye hiyo Ligi ambayo Yanga ni unbeaten hadi Leo, sasa kama kuingia makundi ndo ubora mbona hao Simba wameshindwa kumfunga Yanga
Tuliambiwa baada ya kushindwq kufuzu makundi hasirq zote mnahamishia kwetu lazima mtupige kama ngoma
 
Wanavyopiga kelele utadhani labda wana kombe LA kimataifa, kumbe Eti wameingia makundi
Sasa makundi ni jambo la kawaida kwako mpaka ukafikia hatua ya kubeza?

Au sio jambo la kawaida kwakua umekuwa ukiwaona wenzako wanaingia daily?

Usipende kuona kitu fulani ni easy kwakua mtu mwingine amekuwa anakifanya kiwepesi.
 
Baada ya Propaganda za Nabi kubuma watani mmegeukia huku!! [emoji3][emoji3][emoji3]

Mtatapatapa sana Mwakaa huu [emoji23]
 
Simba imekosa ubingwa, Yanga imepata ubingwa tena unbeaten.

Lakini kimahesabu na kitakwimu, mashabiki na wanachama wa Yanga bado hawana furaha kuwazidi Simba.

Mmeshinda mechi nyingi, mmecheza mechi nyingi bila kufungwa, lakini juzi mmefungwa na Zalan wote mkapoteana.

Saizi mmerrjesha kiasi fulani cha furaha baada ya sare iliyoamuliwa na Azizi Ki

Club Africain wakiwatoa mtairejea hali yenu ile ile tuliyoizoea kuwaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…