kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Ndio maana rage aliruita mbumbumbu kwa hiki nachokiona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima hata barca nao wanatoka uefa wanaangukia europa,si ajabuHii ni dalili ya ushindi wa michongo.
Ni jambo gumu sana timu imara inayoweza kutopoteza mechi nyingi namna hiyo halafu ishindwe kufurukuta mashindano ya kimataifa.
Hii timu ilifanikiwa pia kupata ushindi wa mchongo wa goli nyingi sana kwa Zalan na wakawadanganya mashabiki wao ambao wote ni viazi isipokuwa wawili tu kuwa timu ni bora sana.
Ukweli hamuwezi kwenda popote hadi siku mtakapoamua kucheza mpira na sio kamari.
Kama ni un beaten ya mchongo jaribuni nyinyi iyo ya mchongo, msimu wa pili huu Yanga ana anza mechi ya ufunguzi na Simba na mnapasuliwa Kila msimu Ina maana na Simba ana hongwa!!!An biten ya mchongo bahasha za kaki na mpesa"WHF5UW6 imethibitishwa ndugu refa umepokea tsh 1,000,000 kutoka kwa jii esiii emuu salio lako ni tsh 1,000,500'
Hv ukuona vijana walivyopambna huko sudan auHii ni dalili ya ushindi wa michongo.
Ni jambo gumu sana timu imara inayoweza kutopoteza mechi nyingi namna hiyo halafu ishindwe kufurukuta mashindano ya kimataifa.
Hii timu ilifanikiwa pia kupata ushindi wa mchongo wa goli nyingi sana kwa Zalan na wakawadanganya mashabiki wao ambao wote ni viazi isipokuwa wawili tu kuwa timu ni bora sana.
Ukweli hamuwezi kwenda popote hadi siku mtakapoamua kucheza mpira na sio kamari.
Nyie kachukueni ubingwa wa africa[emoji16][emoji1787]Hii ni dalili ya ushindi wa michongo.
Ni jambo gumu sana timu imara inayoweza kutopoteza mechi nyingi namna hiyo halafu ishindwe kufurukuta mashindano ya kimataifa.
Hii timu ilifanikiwa pia kupata ushindi wa mchongo wa goli nyingi sana kwa Zalan na wakawadanganya mashabiki wao ambao wote ni viazi isipokuwa wawili tu kuwa timu ni bora sana.
Ukweli hamuwezi kwenda popote hadi siku mtakapoamua kucheza mpira na sio kamari.
We ambae hutoi draw mbona hukuchukua Kombe?Unbeaten yenyewe droo kama zotee,ujue ni ya kuotea.
Sikuchukua vipi hyo miaka 4 mfululizo mlichukua nyie? Nyie chukueni tuu na droo zenu na magoli yasiyozidi 2 hahaa. Mkuu salamalekoWe ambae hutoi draw mbona hukuchukua Kombe?
Kweni mpaka saivi msimao wa ligi so wote wametoa draw 2 sasa unachoongea ni nini?Sikuchukua vipi hyo miaka 4 mfululizo mlichukua nyie? Nyie chukueni tuu na droo zenu na magoli yasiyozidi 2 hahaa. Mkuu salamaleko
Wakati nyie ndio mnaoongoza kwa kubebwa...magoli tata magoli ya offside za wazi...penati za michongo...kabla ya derby morrison anafungiwa asicheze mechi tatu na faini..ili hali inonga kamchezea rafu ya hatari sure boy hiyo ikafunikwa!An biten ya mchongo bahasha za kaki na mpesa"WHF5UW6 imethibitishwa ndugu refa umepokea tsh 1,000,000 kutoka kwa jii esiii emuu salio lako ni tsh 1,000,500'
Wanavyopiga kelele utadhani labda wana kombe LA kimataifa, kumbe Eti wameingia makundi
Hivi nao huwa wanatolewa raundi za awali kama NdalaPsg
Man city
Juve
Arsenal
Wanafanya vyema kwenye league ila wanapokuja suala la UEFA wanakuwa hawafanyi vizuri
Lakini hiyo haiwanyi ziwe timu mvivu acha kukariri
Wanahongwa waamuziKama ni un beaten ya mchongo jaribuni nyinyi iyo ya mchongo, msimu wa pili huu Yanga ana anza mechi ya ufunguzi na Simba na mnapasuliwa Kila msimu Ina maana na Simba ana hongwa!!!
Yanga alikuwa ni mwenyeji wa mechi alichokuwa anakifanya ni kupromote game ili mashabiki wajitokeze Kwa wingi baada ya kupata majonzi ya kutolewa na hilal, Simba walikuwa hawaifanyii promo mechi ndo mana ukaona watu wa Yanga wanatamba Sana ili wavute mashabikiTuliambiwa baada ya kushindwq kufuzu makundi hasirq zote mnahamishia kwetu lazima mtupige kama ngoma
Daaaah nimecheka Sana kumbe refa wa mchongo acc yake ilikuwa na 500 tu[emoji3][emoji3][emoji3]..Ashukuru Sana huo muamala.An biten ya mchongo bahasha za kaki na mpesa"WHF5UW6 imethibitishwa ndugu refa umepokea tsh 1,000,000 kutoka kwa jii esiii emuu salio lako ni tsh 1,000,500'