Mechi Al Ahly Vs Mamelodi Sundowns

72'

Al Ahly bado anaongoza kwa goal moja huku ball possession ni 48 kwa Al Ahly na 52 kwa Mamelodi Sundowns Fc.
 
Ila Mamelodi Sundowns Fc anatafuta goal kwa majaribio kadha wa kadha.
 
Hao ndio wenye kombe lao.. sio wahuni wanajipa vyeo kwamba wao ni wakubwa wanaenda kutwaa kombe kisa wanapiga watu matobo na pasi nyingii za kipuuzi
 
Goalkeeper wa Al Ahly kajitahidi kuchomoa michomo ya wapinzani hadi sasa.
 
Hao ndio wenye kombe lao.. sio wahuni wanajipa vyeo kwamba wao ni wakubwa wanaenda kutwaa kombe kisa wanapiga watu matobo na pasi nyingii za kipuuzi
Simba wana tabia mbaya sana kuvamia sherehe ambazo sio zao
 
80Min

Mamelodi wanafanya sub mbili kwa pamoja baada ya kufanya sub moja kabla.

Hivyo kufanya sub tatu kwa wasandawe hawa.
 
Al Ahly wanakuwa wanafanya mashambulizi ya kushitukiza kwa upande wa Mamelodi.
 
83Min
Substitution.

W.Bwalya na Wahid wanaingia kwa upande wa Al Ahly.
 
Ila mechi hii bado sana kupredict,second leg itakuwa ngumu zaidi japo naona Mamelod wananafasi zaidi, wapo tu ugenini ilawanaonyesha upinzani mkali
 
Sundowns wanaendelea ku-press wakitafuta goal la kusawazisha.
 
Ila pia Al Ahly wanaendelea kuvizia-via wapatapo mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…