Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari.
Mechi imekuwa ya moto kweli kweli toka dakika ya kwanza kwa timu zote mbili.
Hakika kwa kandanda hili lenye kasi na accuracy ya pasi za uhakika.
Hadi sasa Al Ahly amepata goal la kuongoza dk 24.