Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #21
Goal la pili kwa Al Ahly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipa kawauza wenzieGoal la pili kwa Al Ahly
Kipa amebet nn🤣🤣🤣Goal jepesi kabisa makosa ya Goalkeeper wa Mamelodi Sundowns
Hadi hapo hali imekuwa mbaya kwa Mamelodi SundownsIla mechi hii bado sana kupredict,second leg itakuwa ngumu zaidi japo naona Mamelod wananafasi zaidi, wapo tu ugenini ilawanaonyesha upinzani mkali
Sana 2-0Hadi hapo hali imekuwa mbaya kwa Mamelodi Sundowns
Kwisha habari yao hawa chance kwa Mamelodi imekuwa ngumuDk za lala salama kipa anatoa boko.
Mzigo mzito kisa mbwembwe.Kawaongeze mzigo wenzie
Alitia mkeka wa 2+.Kipa amebet nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]