Annie X6 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2023 Posts 704 Reaction score 1,331 Mar 6, 2024 #1 Alex Fergus aliteseka sana View: https://youtu.be/XXYbVpkI-UY?si=4NGKVOT9hgXRoIG- Sio ten hag peke yake angalia hii. Baada ya hapa sir alex alihakikisha anampata Ronaldo. Na akampa.nafasi
Alex Fergus aliteseka sana View: https://youtu.be/XXYbVpkI-UY?si=4NGKVOT9hgXRoIG- Sio ten hag peke yake angalia hii. Baada ya hapa sir alex alihakikisha anampata Ronaldo. Na akampa.nafasi
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Mar 6, 2024 #2 Ambazo.. kuna mechi mbili hapo
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Mar 7, 2024 #3 Kushinda ile fainali na barca wanakula 3 kwa 1, au ile wanakoga 6-1 kutoka kwa man city.. Vipi ile mpaka akampiga na kiatu usoni beckham?
Kushinda ile fainali na barca wanakula 3 kwa 1, au ile wanakoga 6-1 kutoka kwa man city.. Vipi ile mpaka akampiga na kiatu usoni beckham?
Annie X6 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2023 Posts 704 Reaction score 1,331 Mar 7, 2024 Thread starter #4 makaveli10 said: Kushinda ile fainali na barca wanakula 3 kwa 1, au ile wanakoga 6-1 kutoka kwa man city.. Vipi ile mpaka akampiga na kiatu usoni beckham? Click to expand... Ilikuwa Madrid
makaveli10 said: Kushinda ile fainali na barca wanakula 3 kwa 1, au ile wanakoga 6-1 kutoka kwa man city.. Vipi ile mpaka akampiga na kiatu usoni beckham? Click to expand... Ilikuwa Madrid
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Mar 7, 2024 #5 Annie X6 said: Ilikuwa Madrid Click to expand... Hapana, ilikuwa ni mechi ya arsenal, ndio alipigwa na kiatu usoni. Man u walifungwa 2-0.
Annie X6 said: Ilikuwa Madrid Click to expand... Hapana, ilikuwa ni mechi ya arsenal, ndio alipigwa na kiatu usoni. Man u walifungwa 2-0.