CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Biriani utaiona wapi kwa uwanja ule?Hii Simba ya sasa ni bora sana mkuu. Kucheza nayo huku mko pungufu ni mateso makubwa. Pia inategemea kadi nyekundu imetolewa mda gani. Km mchezaji anapewa red card wakati tayari mnamatokeo mkononi ni rahisi kulinda ushindi. Au km card imetolewa dk za 80 ni rahisi vile vile kujilinda kwa hizo dk chake.
Ugumu ni pale mnapotakiwa kucheza dk 45 na zaidi na timu bora huku mkiwa pungufu. Maji mtaita mmaaa! Mtabana weee mwishoni mtaachia pumzi ikikata. Thats what happened yesterday.
Mwisho, hongera kwa ushindi mtani japo sikuona biriani zaidi ya butua butua tu![emoji13][emoji13]
Ukicheza Biriani kwenye dabby unapigwa.Hii Simba ya sasa ni bora sana mkuu. Kucheza nayo huku mko pungufu ni mateso makubwa. Pia inategemea kadi nyekundu imetolewa mda gani. Km mchezaji anapewa red card wakati tayari mnamatokeo mkononi ni rahisi kulinda ushindi. Au km card imetolewa dk za 80 ni rahisi vile vile kujilinda kwa hizo dk chake.
Ugumu ni pale mnapotakiwa kucheza dk 45 na zaidi na timu bora huku mkiwa pungufu. Maji mtaita mmaaa! Mtabana weee mwishoni mtaachia pumzi ikikata. Thats what happened yesterday.
Mwisho, hongera kwa ushindi mtani japo sikuona biriani zaidi ya butua butua tu![emoji13][emoji13]
Itakuwa wamesahau kichuya Kona maana ake niniwoyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
tSpom2hnsforeed Β·
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu
Simbayanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38
Mwisho wa game simba 2 -0 yanga
Simbayanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10
Mwisho wa game simba 1-0 yanga
Mwaka 2017
Simbayanga
Mkude red card dk ya 28
Mwisho wa game 1-1
Mwaka 2017 tena
Simbayanga
Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga
Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio
ule uwanja unafikili al ahly wangeweza kucheza, ingekuwa taifa mngeona shuguri yakeile simba tuloambiwa inaweza kumlisha mtu goli 5 inaishia kupata kagoli kamoja tena ka ndondokela kwa timu iliyopungufu? basi yanga wapo vizuri sana tena zaidi ya sana....
al ahly alimbugiza kaiza chiefs 3-0 baada ya red card... na kocha wa al ahly amekuwa akisisitiza simba iliyotolewa na kaiza ndo ngumu kwake kuliko zote... je ile kaiza chiefs ingekuwa ndo yanga ya jana ai ahly wangetoboa?
mwindaji bora ni yule ambaye hachagui pori la kuwinda... km simba ni bora basi inatakiwa kuonesha ubora wake mahala popote pale na sio kuchagua sehemu!ule uwanja unafikili al ahly wangeweza kucheza, ingekuwa taifa mngeona shuguri yake