Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Tefa" ni nini? Simba mna ujinga usiomithilika.kuna mechi ya simba na yanga Nakumbuka wachezaji wa Yanga walimpiga refa, naomba nikumbushwe refa aliyepigwa na wachezaji walipiga na kwa sababu gani
Yanga mna upumbavu mwingi sana"Tefa" ni nini? Simba mna ujinga usiomithilika.
Una umri gani wewe kwa sasa mpaka kutaka kukumbushwa mechi iliyochezwa miaka michache tu iliyopita?Kuna mechi ya simba na yanga nakumbuka wachezaji wa Yanga walimpiga refa, naomba nikumbushwe refa aliyepigwa na wachezaji walipiga na kwa sababu gani
dah nakumbuka sijui ni kaseke yule alirusha ngumi kali sana. Yanga hovyo sana"Tefa" ni nini? Simba mna ujinga usiomithilika.
kusahau jambo kuna cha umri mkuu. mtu anasahau hata kitu ulichokuwa nacho dakika 5 tu xilizopitaUna umri gani wewe kwa sasa mpaka kutaka kukumbushwa mechi iliyochezwa miaka michache tu iliyopita?
juzi tu naskia walimpiga shabiki wa simbaKwani We Unafikiri Yule Bondia Kwenye Nembo Ya Yanga anamaanisha Nini..?
Utopolo Wagomvi haoo..!
Ndani ya Uwanja wanae muanzisha Ugomvi Morisoni.
dah huwa nacheka sana na kusikitika nikiwaza ile mechi. hata ndondo cup sio vileMWASIKA SOMEBODY
hapa yanga walikuwa hawana hela ya kuwaonga marefa ndio maana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sana. Ila hawa waamuzi wetu Kuna wakati kipigo ndio inafaa kuwa adhabu yao maana Kwa madudu wanayoyafanya uwanjani na TFF wanaishia kuwafungia mechi tatu.. Huku timu imepoteza point 3 kwa upumbavu wao