Mechi gani ya Simba na Yanga, Yanga walimpiga Refa

Mechi gani ya Simba na Yanga, Yanga walimpiga Refa

Hakuna Darby yoyote ya Yanga na Simba mwamuzi alipigwa, linalokumbukwa ni Simba kuingia mitini halftime
 
Ni Israel Nkongo Mujuni na hii ni baada ya Uto kukandwa vilivyo goli 3-1 na Azam FC katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

RAI YANGU KWA TFF: Hawa Uto ukiwakanda goli nyingi huwa wanageuka mabondia. Chonde chonde muongezeeni ulinzi Refa wa mechi ya 23/10, Ndg. Ramadhani Kayoko kwani anafamilia na inamtegemea.
Mbona ninyi mling'oa viti na hamkurudi uwanjani mkakimbia. Hiyo umesahau?
 
Back
Top Bottom