BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Kabisa mkuu tuwafundishe hawa adabu
Hakuna hio mkuuKilio kwa man utd
Kabisa mkuuKweli aisee..itakuwa game nzuri sana hii
Naisubiria kwa hamuKabisa mkuu
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Mkuu uko upande upi,Naisubiria kwa hamu
MadridMkuu uko upande upi,
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Sina uhakika mkuu ila inaweza kuonyeshwa ila ni big match nadhan SS3DSTV kifurushi cha 42500 kuna Channel itaonyesha?
Jux Juma wa Vanessa Mdee
Game ni saa 6 kamili usiku mkuu ....