Mechi hii sio ya kukosa

Mechi hii sio ya kukosa

startims wanaonyesha kupitia zile chanel zke z mpira km starsport n nyengne (km umelipia lakn), hutaweza kuona kupitia azam tv hata ile MUTV ya kweny azam hawaonyeshi ila wale wa online wataziona yani wale wanaotumia MUTV app kupitia simu na compyuta zao wataiangalia mubashara, hivyo kama unayo/umeidownload MOBDRO app ktk simu yko wala husipate tabu we nenda ktk MUTV na uiangalizie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mechi zote naangalia kupitia app ya startimes kwenye cm yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijasema startimes ya kwenye simu bali ni king'amuz cha startimes, hiv hiv ving'amuz vlivyojaa majumban mwetu, km umekilipia basi unaweza kuiangalia mechi hii na nyengine nying tu za pre-season, ila wale wanaotumia ving'amuzi vya azam tv na dstv hawataweza kuona ila wale wanaotumia apps km mobdro ktk simu zao wanaweza kuiangalia hii mech kupitia chanel y mutv na real Madrid TV pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
e0574f2d3991a1fc6d3ee57d5d703f86.jpg
 
Mtani pole bwana naona mlisalimu amri jana [emoji23]

Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40] sawa mtani...nakusubiria ya Super cup...ile tulikuwa tunapasha
 
Back
Top Bottom