Star world football Mkuu, au kama una app ya startimes unaweza kuangalia kupitia cm yako
Mi mechi zote naangalia kupitia app ya startimes kwenye cm yangustartims wanaonyesha kupitia zile chanel zke z mpira km starsport n nyengne (km umelipia lakn), hutaweza kuona kupitia azam tv hata ile MUTV ya kweny azam hawaonyeshi ila wale wa online wataziona yani wale wanaotumia MUTV app kupitia simu na compyuta zao wataiangalia mubashara, hivyo kama unayo/umeidownload MOBDRO app ktk simu yko wala husipate tabu we nenda ktk MUTV na uiangalizie hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani pole bwana naona mlisalimu amri jana [emoji23]NDIO HIVYO..TUSUBIRI
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40] sawa mtani...nakusubiria ya Super cup...ile tulikuwa tunapashaMtani pole bwana naona mlisalimu amri jana [emoji23]
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
[emoji23][emoji23][emoji23] hayaaa[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40] sawa mtani...nakusubiria ya Super cup...ile tulikuwa tunapasha
YaaappReal madrid anakufa hii mech