Mechi iliyochezwa muda mrefu zaidi duniani

Sijawa na furahA mwez sasa,lakn Uzi huu umenifanya nicheke mpaka majiran wamemaind,
Uzur wake ndo nimetoka kuchek MAN VS CELTA VIGO na mzigo niliweka kwa celta,

Stress zote kwishney
 
Wengi hamuijui hii,

MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI,

Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI

kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa 30 wanaume wakamaliza hivo hivo,

refa KOLLAR DE QUISOR akasema twendeni kwenye matuta,kwenye 5 za kwanza wakatoka 4 kwa 4 akawaambia wapige zingine wakatoka 5 kwa 5,basi wakapigiana penalty karibu mia wakatoa sare.Kwa kua walikua wamechoka akawaomba wapumzike wakaenda mapumzko kurudi mambo yakaenda mpaka penalty mia zingne ikawa draw,zikapigwa hamsini zngne ikawa sare na watu njaa zinauma sana,basi bwana KOILLAR akawaambia wakapate msosi kwenye mgawaha wa karibu.Waliporudi ikapigwa penalt mpaka karibu na kesho na watu wakaambiwa laleni uwanjani,asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9,refa akawaomba wakate kombe nusu kwa nusu

By Deadbody

wewe bwana muongo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .

we jamaa nimecheka kwa sauti hadi wife kashtuka usingizini. hapa kuna watu watakimbilia google
 
Wengi hamuijui hii,

MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI,

Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI

kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa 30 wanaume wakamaliza hivo hivo,

refa KOLLAR DE QUISOR akasema twendeni kwenye matuta,kwenye 5 za kwanza wakatoka 4 kwa 4 akawaambia wapige zingine wakatoka 5 kwa 5,basi wakapigiana penalty karibu mia wakatoa sare.Kwa kua walikua wamechoka akawaomba wapumzike wakaenda mapumzko kurudi mambo yakaenda mpaka penalty mia zingne ikawa draw,zikapigwa hamsini zngne ikawa sare na watu njaa zinauma sana,basi bwana KOILLAR akawaambia wakapate msosi kwenye mgawaha wa karibu.Waliporudi ikapigwa penalt mpaka karibu na kesho na watu wakaambiwa laleni uwanjani,asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9,refa akawaomba wakate kombe nusu kwa nusu

By Deadbody

Mungu anakuona
 
We noma
 
Akili za kibashite hizi, ndo mambo gani kutufanya tuonekane mabashite mbele za watu.

Hiyo mechi penati zilipigwa hadi na mashabiki nini... duh you made my day mkuu. Thanks;.
 
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Wengi hamuijui hii,

MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI,

Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI

Kipute kilipigwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa 30 wanaume wakamaliza hivyo hivyo,

Refa KOLLAR DE QUISOR akasema twendeni kwenye matuta,kwenye 5 za kwanza wakatoka 4 kwa 4 akawaambia wapige zingine wakatoka 5 kwa 5,basi wakapigiana penalty karibu mia wakatoa sare.

Kwa kua walikua wamechoka akawaomba wapumzike wakaenda mapumzko kurudi mambo yakaenda mpaka penalty mia zingne ikawa draw,zikapigwa hamsini zingne ikawa sare na watu njaa zinauma sana,basi bwana KOILLAR akawaambia wakapate msosi kwenye mgawaha wa karibu.

Waliporudi ikapigwa penalt mpaka karibu na kesho na watu wakaambiwa laleni uwanjani,asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9,refa akawaomba wakate kombe nusu kwa nusu

By Deadbody

Fiction
 
Back
Top Bottom