Mechi iliyochezwa muda mrefu zaidi duniani

we una vyeti original vya 4m4 na PhD ya uongo.
 
Hiyo mechi wangeiweka tu mezani ingemalizika tu vizuri bila kuchoshana ovyoovyo.
 
dah, yaani nilivoisoma hii jana nilicheka kinyama, mbaya zaidi ilikua night kali,

bado nawaza huyu jamaa aliwaza nini kutulisha matango pori hivi
Hahahaha dah mi nikajua ni siriazi ile kuja kufungua uzi nilicheka mpaka machozi yakanitoka.
 
MmmhhπŸ˜΅πŸ™„πŸ˜³πŸ˜±πŸ˜±πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜‘πŸ™
 
[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sidhani kama nitashuhudia uongo mwingine zaidi ya huu mpaka mwaka unaisha aisee. We jamaa ni muongo umelitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…