Mechi iliyopita walimtaja Kocha (Zoran), leo wanamtaja Okrah

Mechi iliyopita walimtaja Kocha (Zoran), leo wanamtaja Okrah

Unaongea hayo kwasababu mmebahatisha sare Tena Kwa mpira uliokufa!Simba Leo katengeneza nafasi kuliko Yanga,umakini ungekuwepo mngepigwa!
Kaangalie upya mpira Yanga ana on target 6 Simba 2 sasa Nani katengeneza nafasi nyingi hapo ..??
JamiiForums-283153419.jpg
 
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.

Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Hao jamaa ni mbumbumbu.
 
Hao jamaa ni mbumbumbu.
Mambumbumbu ambao mkitoa nao droo mnachekelea na wakati mlijitapa kuwa mtalipiza kisasi kwa kuwapiga kama ngoma kwa kutolewa kwenye klabu bingwa Afrika?

Sasa hapo sijui mbumbumbu ni nani???
 
Yanga kapiga on targets 6,simba 2
Simba kacheza faulo 20,kadi za njano 5
Kwa maana rahisi, yanga kafika golini kwako mara nyingi kuliko ww
Hizo clear chances nyingi umezitolea wapi
Umeangalia mpira lakini au umeangalia takwimu?Kwa bahati mbaya takwimu hazioneshi chances zilizokaribia kuwa goli!
Kuhusu kadi,ni kama tumelingana maana yanga ana kadi 4 na Simba 5,ila kadi Moja ya Simba imetokana na mchezaji kuvua shati so hapo hakuna hoja!
Fouls pia tumetofautiana mbili tu, possession Simba kaongoza!
Pia ni huruma ya Refa tu,Fei toto alikuwa anapata kadi nyingine ya njano hivyo kadi nyekundu baada ya kumvuta mchezaji Aliyekuwa kwenye move ya kufanya mashambulizi!
 
Kwa hiyo nafasi unatengeneza kwa kubutua nje?
Unaweza kutengeneza nafasi nyingi lakini usipige on/off targets!Kama zile za Mayele zinaongeza tu takwimu ila hakukuwa na attempt yoyote promising!
 
Kaangalie upya mpira Yanga ana on target 6 Simba 2 sasa Nani katengeneza nafasi nyingi hapo ..??View attachment 2395821
Bahati mbaya,kutengeneza nafasi hakumaanishi on/off targets!Unaweza ukawa katikati ya uwanja na ukapiga Kwa kipa,ikawa on target,lakini hiyo haimaanishi umetengeneza nafasi!
Ni kama zile attempt za Mayele,zilikuwa za kuongeza takwimu ila hazikuwa nafasi zilizotengenezwa!
 
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.

Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Kwani Ni uongo kuwa Okra alikuwa mchoyo?
 
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.

Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Kwahiyo ulitaka wafurahie sare kama mnavyofurahia nyinyi?! Watu wanalaumu sababu wanahitaji ushindi sio sare. Kwahiyo kama kuna makosa ya kijinga yamefanyika na ushindi kukosekana lazima asemwe!
 
Kwahiyo ulitaka wafurahie sare kama mnavyofurahia nyinyi?! Watu wanalaumu sababu wanahitaji ushindi sio sare. Kwahiyo kama kuna makosa ya kijinga yamefanyika na ushindi kukosekana lazima asemwe!
Ilicheza timu au hao wachache wanaolaumiwa? Na kwann lawama zije kwenye mechi ya dabi pekee?
 
Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya Ngao ya Jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions (mbadala) zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.

Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gani siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua!
Wewe kinachokuuma nini? Kama mtu akikosea lazima tuseme na akifanya vizuri anapongezwa. Ujinga wa kusifia tu ubaki huko huko utopoloni na CCM. Na kama huko kwenu hamjagundua kosa ni kwa vile hamna akili.
 
Kuna ubaya gani sisi kukosoa makosa tuliyoyaona kwa wachezaji wetu? Team yoyote ile inayokabiliwa na mashindano mengi ni lazima ajadili mapungufu inayoyana kwenye kikosi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosoeni lkn jua kuwa lazima yafanyike makosa ndipo mfungwe. Lkn pia, kwann msiwape credits Yanga kwa namba wanavyowapa challenge ya kutosha?
 
Back
Top Bottom