Kwa hiyo nafasi unatengeneza kwa kubutua nje?Unajua maana ya kutengeneza nafasi?Bahati mbaya takwimu zako hazioneshi nafasi zilizotengenezwa!
Kaangalie upya mpira Yanga ana on target 6 Simba 2 sasa Nani katengeneza nafasi nyingi hapo ..??Unaongea hayo kwasababu mmebahatisha sare Tena Kwa mpira uliokufa!Simba Leo katengeneza nafasi kuliko Yanga,umakini ungekuwepo mngepigwa!
Hao jamaa ni mbumbumbu.Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.
Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Kama wachezaji wako hawana umakini basi ni ma boya tuUnaongea hayo kwasababu mmebahatisha sare Tena Kwa mpira uliokufa!Simba Leo katengeneza nafasi kuliko Yanga,umakini ungekuwepo mngepigwa!
Mambumbumbu ambao mkitoa nao droo mnachekelea na wakati mlijitapa kuwa mtalipiza kisasi kwa kuwapiga kama ngoma kwa kutolewa kwenye klabu bingwa Afrika?Hao jamaa ni mbumbumbu.
Mm hapo ndo wananiacha hoi. Clear chances imaginary kwamba "angepewa pasi angefunga" yaani "ange" sio amepewa ameshindwa kufunga ni "ange" ndo unaona wanamlaumu huyo Okra wao.Kaangalie upya mpira Yanga ana on target 6 Simba 2 sasa Nani katengeneza nafasi nyingi hapo ..??View attachment 2395821
Umeangalia mpira lakini au umeangalia takwimu?Kwa bahati mbaya takwimu hazioneshi chances zilizokaribia kuwa goli!Yanga kapiga on targets 6,simba 2
Simba kacheza faulo 20,kadi za njano 5
Kwa maana rahisi, yanga kafika golini kwako mara nyingi kuliko ww
Hizo clear chances nyingi umezitolea wapi
Unaweza kutengeneza nafasi nyingi lakini usipige on/off targets!Kama zile za Mayele zinaongeza tu takwimu ila hakukuwa na attempt yoyote promising!Kwa hiyo nafasi unatengeneza kwa kubutua nje?
Bahati mbaya,kutengeneza nafasi hakumaanishi on/off targets!Unaweza ukawa katikati ya uwanja na ukapiga Kwa kipa,ikawa on target,lakini hiyo haimaanishi umetengeneza nafasi!Kaangalie upya mpira Yanga ana on target 6 Simba 2 sasa Nani katengeneza nafasi nyingi hapo ..??View attachment 2395821
Sasa wachezaji wako ambao sio maboya wamepata ushindi?Kama wachezaji wako hawana umakini basi ni ma boya tu
Kwani Ni uongo kuwa Okra alikuwa mchoyo?Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.
Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Aliyezingua leo ni Aziz Ki maana sio kwa shut lile lililo nyooka Manula karuka ushahidi tuKwa hiyo uto hakuna mchezaji aliyezingua leo
Toa mwiko nyuma akili zitakukaa sawaAliyezingua leo ni Aziz Ki maana sio kwa shut lile lililo nyooka Manula karuka ushahidi tu
Ball possession?Kaangalie upya mpira Yanga ana on target 6 Simba 2 sasa Nani katengeneza nafasi nyingi hapo ..??View attachment 2395821
Vipi yule aliepigwa chupi la mwakalebela?Aliyezingua leo ni Aziz Ki maana sio kwa shut lile lililo nyooka Manula karuka ushahidi tu
Kwahiyo ulitaka wafurahie sare kama mnavyofurahia nyinyi?! Watu wanalaumu sababu wanahitaji ushindi sio sare. Kwahiyo kama kuna makosa ya kijinga yamefanyika na ushindi kukosekana lazima asemwe!Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya ngao ya jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha Uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.
Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gan siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua
Ilicheza timu au hao wachache wanaolaumiwa? Na kwann lawama zije kwenye mechi ya dabi pekee?Kwahiyo ulitaka wafurahie sare kama mnavyofurahia nyinyi?! Watu wanalaumu sababu wanahitaji ushindi sio sare. Kwahiyo kama kuna makosa ya kijinga yamefanyika na ushindi kukosekana lazima asemwe!
Yeye mmemuazima? Sio mchezaji wenu? Possibly ndivyo alivyofundishwaKwani Ni uongo kuwa Okra alikuwa mchoyo?
Wewe kinachokuuma nini? Kama mtu akikosea lazima tuseme na akifanya vizuri anapongezwa. Ujinga wa kusifia tu ubaki huko huko utopoloni na CCM. Na kama huko kwenu hamjagundua kosa ni kwa vile hamna akili.Hawaishiwi visingizio wanapokosa matokeo mazuri. Mechi ya Ngao ya Jamii walimlalamikia Kocha kwamba alifanya substitutions (mbadala) zilizowaua. Leo wanamlalamikia Okrah kwamba alizidisha uchoyo hadi kupelekea kuokosesha timu ushindi.
Hivi wenzetu hamkosi sababu? Zoran alikuwa kocha wa timu gani siku ile? Okrah naye? Anzeni kukua!
Kosoeni lkn jua kuwa lazima yafanyike makosa ndipo mfungwe. Lkn pia, kwann msiwape credits Yanga kwa namba wanavyowapa challenge ya kutosha?Kuna ubaya gani sisi kukosoa makosa tuliyoyaona kwa wachezaji wetu? Team yoyote ile inayokabiliwa na mashindano mengi ni lazima ajadili mapungufu inayoyana kwenye kikosi.
Sent using Jamii Forums mobile app