wazazi hawakwepi lawama kutuzalia utopolo mkuu,heri ungejua mama yako yanga unakaribia kuzaliwa rudini tumboniNaomba unifikishie ujumbe kwake pia. Ikiwezekana tuishie tu kwenye kuitana mbumbumbu, utopolo, makolo, nyani Luc nani sijui yule!!
Lakini tuwaonee huruma wazazi aisee.
unajishusha hadhi kumjibu huyo mwuza embassy jangwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maumivuu badoooo yako pale pale. Habari kuu na Duniani kwa sasa. DJ waleteeeeeeeeh. View attachment 2299909
Umefeli. Unasifia Melo kuanzisha JF wewe unashindwa kutafuta kitu kidogo hicho kwenye simu yako unataka nikufanyie mimi, usipende mtelemko utaolewa kabla ya siku zako dada yangu.Wajanja wamebuni vitu vikubwa kama melo alivyotuletea jf
Wewe mjanja hiyo smart yako umebuni nini zaidi ya kusave hayo mascreen shorts na porn.
Tulia bambukicha [emoji23][emoji23]
Lini ulitoka kundi la ukilaza?😂😂vilaza mmebuni kuvuta embassy na bangi
Tunapoamua kukemea maovu tukemee bila kuwa na nepotism, hiyo ndio point yangu kubwa.Uko sahihi kabisa. Kuna kale katabia ka kuoneana aibu kwa sababu tu ya kufanana mlengo. Na kama ndiyo unafiki wenyewe, basi nakiri na mimi kumbe ni mnafiki kwa kiasi chake.
Lakini kiukweli tujitahidi tu kutaniana kwa kipimo. Hata wale mashabiki wenzangu wa Yanga pia wabadilike. Hii mambo ya kutukanana matusi ya nguoni, kuwatukana wazazi wetu! Nadhani siyo poa hata kidogo.
Huwa napenda tuishie tu kwenye utopolo, umbumbumbu, umakolo, nk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Namshtua na kumchachua kidogooo.unajishusha hadhi kumjibu huyo mwuza embassy jangwani
Unamsemaje mwanaume(YANGA) aliekuingilia mara nyingi zaidi toka dunia iumbweUnapata wapi nguvu kusema simba kupigwa kimataifa wakati hao simba wamekupiga magoli 6 na magoli 5 kukazia we ni utopolo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumjibu atajisifu ,simba hatuna haja kuwajibu tunajishusha viwango,ila tunawajibu kibinadamu wasijisikie vibaya
Mm ni 2Kwa mechi tulizoshinda kimataifa ni mechi gani bora wewe ulienjoy? Binafsi kwangu vs Platnums biriani ilipigwa.
Simba vs Nkana 2-1
Simba vs As Vita 3-1
Simba vs Fc Platinum 4-0
Simba vs Red arrows 3-0
Simba vs Orland 3-1
Simba vs berkane 1-0
Simba vs Mimosas 3-1
Simba vs Al Ahly 1-0
Simba vs US Gendamarine 4-0