Mechi ipi bora ya Simba kimataifa

Mechi ipi bora ya Simba kimataifa

Naomba unifikishie ujumbe kwake pia. Ikiwezekana tuishie tu kwenye kuitana mbumbumbu, utopolo, makolo, nyani Luc nani sijui yule!!

Lakini tuwaonee huruma wazazi aisee.
wazazi hawakwepi lawama kutuzalia utopolo mkuu,heri ungejua mama yako yanga unakaribia kuzaliwa rudini tumboni
 
Wajanja wamebuni vitu vikubwa kama melo alivyotuletea jf

Wewe mjanja hiyo smart yako umebuni nini zaidi ya kusave hayo mascreen shorts na porn.

Tulia bambukicha 😂😂
vilaza mmebuni kuvuta embassy na bangi
 
Wajanja wamebuni vitu vikubwa kama melo alivyotuletea jf

Wewe mjanja hiyo smart yako umebuni nini zaidi ya kusave hayo mascreen shorts na porn.

Tulia bambukicha [emoji23][emoji23]
Umefeli. Unasifia Melo kuanzisha JF wewe unashindwa kutafuta kitu kidogo hicho kwenye simu yako unataka nikufanyie mimi, usipende mtelemko utaolewa kabla ya siku zako dada yangu.
 
Simba na ferivialo ya Angola sijui kama nimepatia spelling, yule kipa alikuwa hajawahi kufungiwa ila alienda nyavuni mara tatu walipokutana na Simba kwenye kombe la caf
 
Uko sahihi kabisa. Kuna kale katabia ka kuoneana aibu kwa sababu tu ya kufanana mlengo. Na kama ndiyo unafiki wenyewe, basi nakiri na mimi kumbe ni mnafiki kwa kiasi chake.

Lakini kiukweli tujitahidi tu kutaniana kwa kipimo. Hata wale mashabiki wenzangu wa Yanga pia wabadilike. Hii mambo ya kutukanana matusi ya nguoni, kuwatukana wazazi wetu! Nadhani siyo poa hata kidogo.

Huwa napenda tuishie tu kwenye utopolo, umbumbumbu, umakolo, nk.
Tunapoamua kukemea maovu tukemee bila kuwa na nepotism, hiyo ndio point yangu kubwa.

Pamoja sana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Namshtua na kumchachua kidogooo.
kumjibu atajisifu ,simba hatuna haja kuwajibu tunajishusha viwango,ila tunawajibu kibinadamu wasijisikie vibaya
 
Unapata wapi nguvu kusema simba kupigwa kimataifa wakati hao simba wamekupiga magoli 6 na magoli 5 kukazia we ni utopolo.
 
Unapata wapi nguvu kusema simba kupigwa kimataifa wakati hao simba wamekupiga magoli 6 na magoli 5 kukazia we ni utopolo.
Unamsemaje mwanaume(YANGA) aliekuingilia mara nyingi zaidi toka dunia iumbwe
 
kumjibu atajisifu ,simba hatuna haja kuwajibu tunajishusha viwango,ila tunawajibu kibinadamu wasijisikie vibaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mechi tulizoshinda kimataifa ni mechi gani bora wewe ulienjoy? Binafsi kwangu vs Platnums biriani ilipigwa.

Simba vs Nkana 2-1
Simba vs As Vita 3-1
Simba vs Fc Platinum 4-0
Simba vs Red arrows 3-0
Simba vs Orland 3-1
Simba vs berkane 1-0
Simba vs Mimosas 3-1
Simba vs Al Ahly 1-0
Simba vs US Gendamarine 4-0
Mm ni 2
Simba vs platinum
Simba vs plateau utd

Hizi mechi 2 zilibamba sanaa kwanza zilikuwa na pressure toka kwa utopolo ...utopolo walikwenda kuwapokea hao wageni wote wawili wakajua watatoboa ...ebanaa walichokutana nacho
 
Back
Top Bottom