everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
lol!!!! hahahahahaha hakuna tena wa kusimamisha, ikitokea hivyo itakuwa ni uzembe wa hali ya juu. Ulikuwa unalia au kutokulala? Mbona macho yamevimba? hahahahahaha lol! It was just a game 🙂🙂
Hahahahahahaha!!!! Nilikesha humu nikiwa natazama vijana mnavyotiririka mistari, mistari yenu yote nimeirekod nitawatolea singo kama mtashindwa kuchukua tena ndoo, ombea Blackburn amkazie LFC....