lol!!!! hahahahahaha hakuna tena wa kusimamisha, ikitokea hivyo itakuwa ni uzembe wa hali ya juu. Ulikuwa unalia au kutokulala? Mbona macho yamevimba? hahahahahaha lol! It was just a game ππ
Hahahahahahaha!!!! Nilikesha humu nikiwa natazama vijana mnavyotiririka mistari, mistari yenu yote nimeirekod nitawatolea singo kama mtashindwa kuchukua tena ndoo, ombea Blackburn amkazie LFC....
Ngoja tusubiri tuone, ila mimi naamini kabisa matokeo ya jana yametupa confidence ya hali ya juu sioni mwingine wa kutusimamisha labda majeruhi tu ya kutisha ya key players otherwise njia nyeupeeeeee lol!!!! Hahahahahaha we tengeneza single ila utafakari utamuuzia nani? Wateja wa single zako msimu huu hawako jaribu msimu ujao lol!! ππ