GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote.
Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu atatulia Kuangalia Mechi ya Simba na Namungo Kesho tarehe 3 May, 2023 na ile ya Simba na Azam Jumamosi ya tarehe 6 ambapo nina uhakika tena wa 100% kuwa Mshindi wa hii Mechi ( Simba na Azam ) ndiyo atakuwa Bingwa wa TFF ASFC kwa Msimu huu.