streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 475
Habari za wakati wadau wa michezo. Huwa ninaona kuna mechi mbalimbali kati ya Wabunge na wasanii, walimu na wanafunzi nk. Ila naona itakua vyema kukiwepo na Mechi kati ya BAVICHA na UVCCM hii itasaidia mshikamano na kuleta hamasa ya michezo nchini. Nawasilisha.