Mechi kati ya BAVICHA na UVCCM.

Mechi kati ya BAVICHA na UVCCM.

streat Anthem

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
395
Reaction score
475
Habari za wakati wadau wa michezo. Huwa ninaona kuna mechi mbalimbali kati ya Wabunge na wasanii, walimu na wanafunzi nk. Ila naona itakua vyema kukiwepo na Mechi kati ya BAVICHA na UVCCM hii itasaidia mshikamano na kuleta hamasa ya michezo nchini. Nawasilisha.
 
Hapa inakuwa nguvu ya hoja dhidi ya hoja ya nguvu!
 
Kuna timu ikifungwa lazima jambo hilo lipigwe marufuku kuendelea kwenye mikoa mingine
 
Back
Top Bottom