streat Anthem
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 395
- 475
Wamekusikiaangalieni msije mkatandikana, maana Bavicha hawanaga subira kabisaaaa!! Anyway ongeeni na Mwakyembe.
angalieni msije mkatandikana, maana Bavicha hawanaga subira kabisaaaa!! Anyway ongeeni na Mwakyembe.
Itakua hatari sana hahahaHahahahaha angalizo pia, UVCCM hawakawii kuchezesha green guard na BAVICHA first eleven yote hawakawii kuwapanga Red bridgade.
Kwa nini mkuu?Referee awe ni mwanajeshi au yule polisi wa Morogoro
Referee awe ni mwanajeshi au yule polisi wa Morogoro
Anayepiga bao la mkono si ndio yule jamaa?UVCCM watapiga bao la mkono.
Yule ni wa ndondi bhanaFransis cheka atafaa sana.
Ipi iyooKuna timu ikifungwa lazima jambo hilo lipigwe marufuku kuendelea kwenye mikoa mingine
Mpira ndo vizuriHapa inakuwa nguvu ya hoja dhidi ya hoja ya nguvu!
Hunitakii mema wewe mm mtt wa mkulima hela za kesi ns matibabu sinaIpi iyoo
Acha uoga Mkuu hapa ni where we dare to talk openlyHunitakii mema wewe mm mtt wa mkulima hela za kesi ns matibabu sina