huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Huko Kaitaba-Kagera vp?
Vyura Fc bado hawajanyukwa?
Vyura Fc bado hawajanyukwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga 2-1 Kagera dakika inaelekea ya 80Pole Sana maana yanga leo itafungwa na kagera
Tupeni matokeo wakuu.
Yanga 2 Kagera 1 Dakika inaelekea ya 80 hiviNgapi ngapi?
We jamaa njoo PM nikuulize process za kuwa verified user humuKagera Sugar bado inaburuza mkia kwenye msimamo wa ligi kuu
Mpira umekwisha kagera 1 yanga 2
Una uhakika?Mimi ni mpenzi sana wa timu ya Yanga kwa kweli mpira unaochezwa mwaka huu na timu ya hiyo, siku ikikytana na timu Afrika ya kaskazini au magharibi iatafungwa mabao zaidi ya ya matano, vipi mwaka huu?
Achana na wamatopeni hawsUna uhakika?
Jitaidi nafasi ya sheikh yahya bado iko waziMimi ni mpenzi sana wa timu ya Yanga kwa kweli mpira unaochezwa mwaka huu na timu ya hiyo, siku ikikytana na timu Afrika ya kaskazini au magharibi iatafungwa mabao zaidi ya ya matano, vipi mwaka huu?