Mechi kati ya Kagera Vs Yanga...

Mechi kati ya Kagera Vs Yanga...

Pole Sana maana yanga leo itafungwa na kagera
 
Full time Yanga 2 Kagera 1

Yanga wanaondoka na alama 3 wanafikisha point 12 kwenye Ligi
 
Kagera Sugar bado inaburuza mkia kwenye msimamo wa ligi kuu
 
Mpira umekwisha kagera 1 yanga 2

Mimi ni mpenzi sana wa timu ya Yanga kwa kweli mpira unaochezwa mwaka huu na timu ya hiyo, siku ikikytana na timu Afrika ya kaskazini au magharibi iatafungwa mabao zaidi ya ya matano, vipi mwaka huu?
 
Una uhakika?
 
Jitaidi nafasi ya sheikh yahya bado iko wazi
 
Back
Top Bottom