Kikanuni Mbeya Kwanza watapoteza points kwasababu Ambulance iliingia uwanjani saa 16:24 muda ambao kikanuni mchezo ungetakiwa kuendelea lkn bado wakagoma kuendelea na mchezo.Hakuna kupangwa tarehe nyingine, Mbeya kwanza wapewe point zao 3 na magoli 3
Ebu weka hiyo kanuni inavyosema mkuuKikanuni Mbeya Kwanza watapoteza points kwasababu Ambulance iliingia uwanjani saa 16:24 muda ambao kikanuni mchezo ungetakiwa kuendelea lkn bado wakagoma kuendelea na mchezo.
Thibitisha mkuuKikanuni Mbeya Kwanza watapoteza points kwasababu Ambulance iliingia uwanjani saa 16:24 muda ambao kikanuni mchezo ungetakiwa kuendelea lkn bado wakagoma kuendelea na mchezo.
Aijulie wapi wakati yeye kasikia kwenye redio tu wachambuzi wakisema hivyo?Ebu weka hiyo kanuni inavyosema mkuu
Wazo la tofauti ndio kama hili, kama ikithibitika hao jamaa walipeleka ambulance saa 16:24 jioni kabla ya muda wa kugoma kisheria kufika, basi Mbeya Kwanza inaweza kuwa cost kwa kugoma kwao.Kikanuni Mbeya Kwanza watapoteza points kwasababu Ambulance iliingia uwanjani saa 16:24 muda ambao kikanuni mchezo ungetakiwa kuendelea lkn bado wakagoma kuendelea na mchezo.