Mechi kati ya Simba na Mtibwa yasogezwa mbele

Wewe unaona timu kuahirishiwa Mechi yenye tofauti ya siku 6 katikati ni Sawa?
Unajua kuhesabu.Kuanzia tarehe 18 mpaka 23 ni siku 6?.Mechi inachezwa Ijumaa tarehe 23.Hakuna ndege ya moja kwa moja kwenda Ivory Coast. Baada ya mechi ya Mtibwa timu ingepumzika siku ngapi?Baada ya kucheza gemu 6 ndani ya siku 15.Na kucheza kila baada ya siku 2. Ratiba ya namna hii hamna popote duniani. Tumia hata 10% ya ubongo wako utalielewa hilo.
 
Wakati TFF wanapanga ratiba hawakuliona hilo?
 
Hujui kama Coastal ndiyo ilikuwa inafuatia kwa mujibu wa ratiba?wewe ulicheza AFL kiasi cha kujifananisha na Simba kwenye ratiba?
Tuache sababu zisizo na kichwa wala miguu AFL hajacheza Simba peke yake angalia wengine kwenye ligi zao huko kama wana viporo tena kama Wydad kafika final achana na Simba kacheza mechi mbili za AFL
 
Umeangalia ligi ya Misri?Al Ahly ana viporo 6,Mamelod ana viporo viwili,unaonaje ajabu kwa Simba kuwa na kiporo komoja?unajua safari ya Ivory Coast inachukua muda gani,unadhani kuna ndege ya moja kwa moja kuelekea Ivory Coast kutokea Dar?
 
Wachana na wavimba macho watapiga kelele mchana usiku watalala.
 
Mliwakwepa Azam hivihivi, mlipokutana Mwanza uliona kilichotokea, round ya Pili sijui mtakimbilia wapi game inapigwa Azam complex.
Mpira sio unavyowaza tu kwamba timu fulani itafungwa tu,nani kakuambia Simba inamkimbia Azam,mbona mashabiki wa Majini Fc mmekuwa mazezeta hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Umeangalia ligi ya Misri?Al Ahly ana viporo 6,Mamelod ana viporo viwili,unaonaje ajabu kwa Simba kuwa na kiporo komoja?unajua safari ya Ivory Coast inachukua muda gani,unadhani kuna ndege ya moja kwa moja kuelekea Ivory Coast kutokea Dar?
Ligi ya Egypt ime anza mwezi gani au una ongea vitu hujui? by the way Al Ahly walifika semi final kwenye AFL kabla huaja changia hoja fanya utafiti
 
Kwani nyie mlishiriki AFL?Al Ahly wenyewe wanacheza kiporo cha CAFCL leo.BTW mbona Simba walipotaka kucheza na Coastal Union kupunguza viporo mlipiga kelele hadi TFF wakakataa?
Kiporo Chenu Kilikuwa Azam Ila Mnataka Kukimbilia Tawini Hivi Huwa Mmerogwa?

Haya Subiri Hicho Kiporo Chenu Sisi Tunaanza Mzunguko Wa Pili Leo.

Ila Kumbuka Sifa Ya Kiporo Kuchacha!
 
Hii timu inabebwa na kudekezwa sana. Imagine wana mpaka mwamuzi wao maalum wa kuchezesha mechi zao tu! Na kila anapochezesha, basi ushindi ni lazima upatikane.
 
Kiporo Chenu Kilikuwa Azam Ila Mnataka Kukimbilia Tawini Hivi Huwa Mmerogwa?

Haya Subiri Hicho Kiporo Chenu Sisi Tunaanza Mzunguko Wa Pili Leo.

Ila Kumbuka Sifa Ya Kiporo Kuchacha!
Wakati tunachukua kombe mara nne mfululizo na tukicheza robo fainali kuliafutia taifa nafasi nne ya timu za Tanzania kushiriki kimataifa tulikuwa na viporo pia,kumbuka hilo.Simba anaangaliwa kwa maslahi ya Taifa
 
Tumeanza Mzunguko Wa Pili Kwa Goal Tatu Haya Subirini Kiporo Kilichochacha.

Back
Top Bottom