Mechi kati ya Simba na Mtibwa yasogezwa mbele

Kwa kifupi ni masaa 19 Dar to Ivory Coast maana hakuna ndege ya moja kwa moja,sasa masaa 19 ni almost siku 2,nakumbuka msimu uliopita sisi Yanga pia kuna mechi zetu ziliahirishwa ili tupate muda wa kusafiri kwenda Nje kucheza mechi za Kimataifa mpaka tukafika Fainali, sioni sababu ya kulialia,tuwe wa kweli katika hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…