Leo mechi kati ya Kagera Sugar na Simba ilihairishwa, kutokana na wachezaji wa Simba kuwa na mafua makali!
Sasa naomba kuwauliza viongozi wa Simba, kama mechi ingechezwa, je mlikuwa mmeishaweka nembo ya GSM kwenye bega la kushoto mwa jezi? Hii ni kwa sababu, timu zote 15 zimeisharidhia udhamini wa GSM isipokuwa Simba. Na hizo timu 15 zimefurahia udhamini wa GSM (Watakuwa wameishapata mgao wao). Ina maana kuna mgao wa Simba pia kutoka GSM.
Na huku mtaani, leo mashabiki wa Yanga walikuwa wanasubiri kwa hamu kuwaona Simba wamevaa nembo ya GSM ili wawacheke mashabiki wa Simba.
Sitaki kuhusianisha kuhairishwa kwa mechi na mgogoro kati ya Simba na TFF kuhusu udhamini wa GSM. Mechi imehairishwa kwa sababu wachezaji wa Simba wana mafua makali.
Muda ni msema ukweli, tusubiri mechi ijayo ya Simba kama watavaa nembo ya GSM au la, kwa sababu timu zote 15 zimekubali udhamini wa GSM.
Wito wangu, TFF iwe sirias na kuendesha soka la Tanzania, ili isije kusababisha vurugu za mashabiki huko mbeleni.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app