Kurunzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 9,753 Reaction score 10,747 May 24, 2024 #1 Kwa tuliosoma Cuba kuna mchezo unafanyika kwa kutupumbaza wa game fixing Simba na KMC kwa wale watu wenye upeo mkubwa Kauli ya Ahmed na taarifa ya KMC ni kutupumbaza tu. Kuna mtu anataka point za mezani hapa
Kwa tuliosoma Cuba kuna mchezo unafanyika kwa kutupumbaza wa game fixing Simba na KMC kwa wale watu wenye upeo mkubwa Kauli ya Ahmed na taarifa ya KMC ni kutupumbaza tu. Kuna mtu anataka point za mezani hapa
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 May 24, 2024 #2 Wajanja washakula kibunda hapo
D Danielmwasi JF-Expert Member Joined May 3, 2021 Posts 2,134 Reaction score 3,834 May 24, 2024 #3 Lao moja . Simba point 3 kwa kmc sio simple . Ni short cut
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 24, 2024 #4 Nchi ngumu sana hii.