Upo lakn?Tena mapeeema tu
Hufai kua mganga wa kienyejiLeo 3-0 zinatosha.
Kama nakuona ulivyosononeka[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Daah 2-2
Kapagawa huyo msamehe bure ........goli lenyewe limepigwa kutoka ktk mita zisizojulikana huko manura alikua anaona kama vile kimondo kinakatisha juu kumbe mpira umeenda kuzama kunako nyavuGoli la pili unataka kuwalaumu mabeki mkuu
Simba kwa visingizio hamjambo!!! Kubali ukweli kuwa huo ndio uwezo wenu Mkuu.Timu ilicheza viziri sana hasa kipindi cha kwanza. Simwingilii kocha, binafsi sub ya Luizio sikufurahishwa nayo. Kutoka kwa Kichuya kumeigharimu timu. Nadhani Ndemla angeingia badala ya Luizio matokeo yangekuwa tofauti kwa kuwa ana uwezo wa kuchezea mpira, kuipandisha timu, kupiga pasi za mwisho na hata kupiga shuti za mbali.
Shabalala leo kacheza vizuri kuliko mchezo ulipita, ila bado hajarejea kwenye fitness yake.
Kwa ufupi, kocha angejaza viungo badala ya kuimarisha mbele ili kulinda ushindi.
Kwa upande mwingine refa ameonesha udhaifu kwa baadhi ya maamzi. Rejeeni muvu moja ilikuwa ikiekea kwenye lango la Mbao, akapiga filimbi wakati aliyechezewa faulo ni mchezaji wa Simba. Sitaki kurudia makosa yote, Othman Kazi atatusaidia.
Point moja si mbaya tusonge mbele. Tusilaumiane, Simba nguvu moja.
Uwanja uliinama na Okwi hakucheza ndo maana mmetoka sare. Hiyo ndo ligi baba.Timu ilicheza viziri sana hasa kipindi cha kwanza. Simwingilii kocha, binafsi sub ya Luizio sikufurahishwa nayo. Kutoka kwa Kichuya kumeigharimu timu. Nadhani Ndemla angeingia badala ya Luizio matokeo yangekuwa tofauti kwa kuwa ana uwezo wa kuchezea mpira, kuipandisha timu, kupiga pasi za mwisho na hata kupiga shuti za mbali.
Shabalala leo kacheza vizuri kuliko mchezo ulipita, ila bado hajarejea kwenye fitness yake.
Kwa ufupi, kocha angejaza viungo badala ya kuimarisha mbele ili kulinda ushindi.
Kwa upande mwingine refa ameonesha udhaifu kwa baadhi ya maamzi. Rejeeni muvu moja ilikuwa ikiekea kwenye lango la Mbao, akapiga filimbi wakati aliyechezewa faulo ni mchezaji wa Simba. Sitaki kurudia makosa yote, Othman Kazi atatusaidia.
Point moja si mbaya tusonge mbele. Tusilaumiane, Simba nguvu moja.
Yeah, we got it dude, is that what you expected from your team? bravoogongowazi fc roho zinawaumaaaaa.......This is Simba bwana...