huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Dah simba tumekosea sana kuruhusu goli la pili.....
Lawama kwa mabeki wa simba
Lawama kwa mabeki wa simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja bashite atawaletea vijana wake waliovamia clouds wamlinde.Refa amlinde Okwi,anakabwa na watu wanne
Aiseee...
Aiseee...
Mkuu pole sana!!!Mbao mkifungwa na timu ya kitoto nakuja kuwachapa viboko shenzy ninyi. Mnapenda sifa za kijinga sn. Mnapenda kukamia mechi kubwa tjen mechi za saiz yenu mnafungwa kijingajinga tu. Nasema ole wenu
Ulitaka aachwe na magoli yake yakununuaRefa amlinde Okwi,anakabwa na watu wanne
Goli la pili unataka kuwalaumu mabeki mkuuDah simba tumekosea sana kuruhusu goli la pili.....
Lawama kwa mabeki wa simba
An ha ha ha haa.....Mpira uishe tu, hawa Mbao hawachelewi kuleta matatizo
Tushapoa mkuu...An ha ha ha haa.....
Poleni sanaa...
Ongera mmepiga 5-0 leo. Ahaaaa nacheka kwa dharauPiga mbao 5-0