Mechi ligi Kuu Bara: Mbao FC na Simba SC zatoshana nguvu, Kirumba

Mechi ligi Kuu Bara: Mbao FC na Simba SC zatoshana nguvu, Kirumba

Mbao mkifungwa na timu ya kitoto nakuja kuwachapa viboko shenzy ninyi. Mnapenda sifa za kijinga sn. Mnapenda kukamia mechi kubwa tjen mechi za saiz yenu mnafungwa kijingajinga tu. Nasema ole wenu
 
Mnajipa matumaini kumbe mko na baiskel ya barafu. Yanga kandambili bwana.
 
'Kikojozi na nguo katia moto'...,,,,,,,kudadadeki pamoja na furushi la minoti analo tembea nalo mgosi kuhonga tim pinzani leo limeshindwa kufanya kazi yake barabara!!!
 
Simba mmenikera, msimu huu mmeanza makabati kabla ya mida...kawaida simba huanza makabati kuanzia mechi ya sita,
 
Mbao mkifungwa na timu ya kitoto nakuja kuwachapa viboko shenzy ninyi. Mnapenda sifa za kijinga sn. Mnapenda kukamia mechi kubwa tjen mechi za saiz yenu mnafungwa kijingajinga tu. Nasema ole wenu
Mkuu pole sana!!!
 
Tuliiacha mbao ligi kuu on purpose...
 
Timu ilicheza viziri sana hasa kipindi cha kwanza. Simwingilii kocha, binafsi sub ya Luizio sikufurahishwa nayo. Kutoka kwa Kichuya kumeigharimu timu. Nadhani Ndemla angeingia badala ya Luizio matokeo yangekuwa tofauti kwa kuwa ana uwezo wa kuchezea mpira, kuipandisha timu, kupiga pasi za mwisho na hata kupiga shuti za mbali.
Shabalala leo kacheza vizuri kuliko mchezo ulipita, ila bado hajarejea kwenye fitness yake.
Kwa ufupi, kocha angejaza viungo badala ya kuimarisha mbele ili kulinda ushindi.
Kwa upande mwingine refa ameonesha udhaifu kwa baadhi ya maamzi. Rejeeni muvu moja ilikuwa ikiekea kwenye lango la Mbao, akapiga filimbi wakati aliyechezewa faulo ni mchezaji wa Simba. Sitaki kurudia makosa yote, Othman Kazi atatusaidia.
Point moja si mbaya tusonge mbele. Tusilaumiane, Simba nguvu moja.
 
Kila mtu apongezwe kwa kile alichokipata , alichokianza simba kabla ya mchezo ndicho alichomalizana nacho mbao baada ya kipenga kuanza kupulizwa ....ngona niuterm mchezo wa leo kama mchezo wa 'suprise' ...

.......Tukiacha blah blah nyingi. Basi moja ya vitu vya faida walivyonavyo Mbao fc ni mwalimu Etienne Ndayiragije. Pili ya faida waliyonayo Mbao fc ni kundi la vijana wenye uwezo. Tatu ni surprise kila wakati.

Ebwanaaaah daaaah, kuacha Boniphace Maganga fundi Yule, ukiacha Yusuph Ndikumana kitasa kile.... Basi Yusuph Mgeta ni mwanadamu mwingine aliyejiweka sokoni katika mchezo huu wa mauzo. Kafanikiwa katika man making kwa Emanuel Okwi, interception, tackling, blocking pamoja na ku clear mipira kwenye eneo lake. Wa kwanza huyu ameshajiweka sokoni katika mchezo huu.

Mchezo wa kwanza wa Simba nje ya Dar es salaam kaanza na sare, lakini pia mchezo wa kwanza wa Aishi Manula kuruhusu nyavu zake zichezewe. Baada ya kugawana alama moja moja sasa ndio wakati wa kutest mipango endelevu ya Joseph Omog.

.....Bado sijaona impact ya Gyan katika pahala pa Mohamed Ibrahim Mo. Kuna kitu Simba wanakimisi Bila uwepo wa Mohamed Ibrahim Mo katika team. Bado Gyan anaonyesha anahitaji adaptation katika team lakini pia katika ligi. Faida kubwa angekuwa anaingia taratibu taratiibu kwenye kikosi na sio immediately kama hivi.
 
Back
Top Bottom