Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

Utopologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
998
Reaction score
2,506
15 min.

MC Alger 0-0 Wydad Casablanca

Wydad akiwa anatawala mchezo zaidi
 
Mungu awatangulie Alger mpate ushindi muingie semi
 
Mna uhakika hawa ni Wydad? Hawa wakikutana na Simba anapiga 3
 
Huyu Refa kawanyima hawa vibonde Wydad goli la wazi aisee
 
Msuva nimchezaji mzuri Sana toka ameingia kwenye kikosi ameongeza kitu frani kwani walikua wanasumbuka kukitafuta kwasasa wamepata changuo na aenderee kufanya vizuri nasi tunamuombe
Amewafungulia milango wachezaji wa kizawa ligi kubwa za Afrika ya kaskazini, vijana waoneshe juhudi tu.
 
Wydad wamefunga goli limekataliwa

Naangalia replay, ni onside!
 
Back
Top Bottom