Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
We endelea kuomba mabaya sisi mwakani tunakubeba na we uje kuonja ladha ya haya mashindano.Kesho si-mbwa ataikalia
Msuva nimchezaji mzuri Sana toka ameingia kwenye kikosi ameongeza kitu frani kwani walikua wanasumbuka kukitafuta kwasasa wamepata changuo na aenderee kufanya vizuri nasi tunamuombeWe endelea kuomba mabaya sisi mwakani tunakubeba na we uje kuonja ladha ya haya mashindano.
Amewafungulia milango wachezaji wa kizawa ligi kubwa za Afrika ya kaskazini, vijana waoneshe juhudi tu.Msuva nimchezaji mzuri Sana toka ameingia kwenye kikosi ameongeza kitu frani kwani walikua wanasumbuka kukitafuta kwasasa wamepata changuo na aenderee kufanya vizuri nasi tunamuombe
Refa nae nibinadamu hakosi mapungufu na ili uwe mtu uliekamilika huwezi kamilika Kila kitu mkuuHuyu Refa kawanyima hawa vibonde Wydad goli la wazi aisee
Safi sanaGame ni live youtube
Nimeona jamaa kapoteza mpira kizembe pale kati kati.....MC Alger anachomoa 1-1
Goli lilianzia kwa kosa la kizembe la Msuva