Mechi nyingine za CAF Champions League 2020/21

Kwa nilichokiona Jana usiku hizo timu hazichezi Kwa kutulia ,Simba anaenda Fainali
Mimwenyewe nimeshangaa sana ilikuwa nikubutuabutua tu nikadhani labda hizo ndizo mbinu mpya kulingana na hatua michuano ilipo fikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…