Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Bodi ya Ligi Kuu imehairisha michezo saba ya NBC PL ili kutia nafasi kwa mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani. Michezo iliyohairishwa ipo hapo chini kwenye picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2956] kumbe mbeya ni nchi [emoji1787]Hata sisi Mbeya tunatamani tucheze mechi na nyie.
Mbeya V/S Tanganyika
Sokoine stadium
Mechi ya kimataifa kivipi? Zanzibar ni nchi?Bodi ya Ligi Kuu imehairisha michezo saba ya NBC PL ili kutia nafasi kwa mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani. Michezo iliyohairishwa ipo hapo chini kwenye pichaView attachment 2849869
Mbeya ni km zanzibar tu. Tupo kwenye mchakato wa kujitenga maana mnatukwamisha sana. Ishu ya bandari mmetuachia mbeya tuwapambanie si uchizi huu.[emoji2956] kumbe mbeya ni nchi [emoji1787]
Watch out!!Hata sisi Mbeya tunatamani tucheze mechi na nyie.
Mbeya V/S Tanganyika
Sokoine stadium
Ukishapata jibu la hilo swali lako litunze kesho unywee chaiMechi ya kimataifa kivipi? Zanzibar ni nchi?
Kuna Faisal Toto na Mudathir Yahya si wachezaji wa Tanzania?
Ndo maana sishangai kuna wanaosema ni siasa.
Kaazi kweli kweli.
Hizi habari ni za kweli? Mbugi litapigwa znz?Mechi ijayo ya Yanga v Simba, itapigwa uwanja wa Amaan,
Mpaka Benjamin Mkapa uwe tayari, Zanzibar itakuwa imejitangaza vya kutosha.
Siasa Siasa Siasa
Si useme tu ..... Benchika angecheza na Azam kipindi kabla haijahairishwa mara ya kwanza hii ni mara ya pili inahairishwa asingekula Christmas bongo .... Washukuriwe TFF.Hapa kuna timu zinabebwa ili zicheze hizi mechi zikiwa zimeshasajili